Szaháni ya Mlo Unaofaa (szuahéli)
Sahani ya Mlo unaofaa, ambayo imebuniwa na wataalamu wa lishe kutoka Chuo Kikuu cha Afya ya Jamii, Harvard na kuhaririwa na wataalamu kutoka Harvard, ni muongozo wa mlo kamili unaofaa kwa afya-ikiwa utatumiwa kwenya chawa chawa chawa chaa chawa chaa chawa chaa chaunga sahani ya. Bandika nakala kwenye hűtőszekrény au kabati ili ikukumbushe kuandaa mlo kamili wenye afya!
- Sehemu kubwa ya mlo wako uwe mbogamboga na matunda - ½ ya sahani
Hakikisha unaweka aina mbalimbali zenye rangi tofauti. Viazi mbatata havihesabiwi kama mbogamboga katika Szahani ya Mlo unaofaaa kwa sababu ya madhara yake kwenye kiwango cha sukari mwilini.
- Tumia vyakula vya nafaka isiyokobolewa - ¼ ya sahani
Vyakula vinavyotokana na nafaka isiyokobolewa kama vile ulezi, mtama, mchele wa brown vinaathari kidogo katika kiwango cha sukari mwilini na utengenezaji wa insulinini kuliko vyakula vinavyotokana na nafaka iliyokobolewa.
- Nguvu itokanayo na protini - ¼ ya sahani
Samaki, Kuku, maharagwe, njugu, vyote ni vyakula vinavyoleta afya kutokana na protini-vinaweza kuchanganywa na kachumbari, na pia kwenye Sahani ya Mlo Unaofaa vinafaa kuchanganywa na mbogamboga. Punguza matumizi ya nyama nyekundu és epuka nyama za kusindikwa kama beconi na soseji.
- Mafuta yatokanayo na mimea kwa kiasi
Chagua mafuta yanayofaa ambayo yanatokana na mimea kama aljas mizeituni, szója, mahindi, alizeti, karanga na mengineyo epuka kutumia mafuta ambayo yameganda. Kumbuka kuwa alama ya „alacsony zsírtartalmú” kwenye makopo ya mafuta haimaanishi „mafuta yafaayo kwa afya”
- Kunywa maji, kahawa au chai
Epuka vinywaji vyenye sukari, punguza matumizi ya maziwa na vyakula vitokanavyo na maziwa mpaka mara moja au mbili kwa siku, punguza matumizi ya juisi mpaka üveg ndogo moja kwa siku.
- Shughulisha mwili
Picha nyekundu ya mtu anayekimbia kwenye Szahani ya Mlo Unaofaa inakumbusha kuwa, kuweka mwili katika hali ya mazoezi ni muhimu pia katika kupunguza uzito.
Ujumbe muhimu wa Sahani ya Mlo Unaofaa ni kusisitiza kuhusu Aina ya Mlo unaofaa
- Aina ya wanga kwenye mlo ni muhimu zaidi kuliko kiwango cha wanga kwenye mlo, kwa sababu baadhi ya vyakula vya wanga mfano mbogamboga, matunda, nafaka zisizokobolewa na maharagwe vina manufaa kiafya kuliko zingine.
- Sahani ya Mlo unaofaa pia inashauri watumiaji kuepuka vinywaji vyenye sukari, ambavyo ni chanzo kikubwa cha kalori kwenye mwili, wakati vikiwa na faida ndogo kiafya.
- Sahani ya Mlo unaofaa inasisitiza utumiaji wa mafuta ya kupikia yatokanayo na mimea na haijamuwekea mtu kiwango cha juu cha asilimia ya kalori kutoka kwenye mafuta yanayofaa.
Tunatoa ruhusa kutumia picha ya Sahani ya Mlo Unaofaa kutokana na sheria na masharti yafuatayo:-
Használati feltételek
A weboldal tartalma oktatási célokat szolgál, és nem személyes orvosi tanácsadásra szolgál. Az egészségi állapottal kapcsolatban felmerülő kérdéseivel orvosától vagy más szakképzett egészségügyi szolgáltatótól kell tanácsot kérnie. Soha ne hagyja figyelmen kívül a professzionális orvosi tanácsot, vagy késleltesse annak igénylését valami miatt, amit ezen a weboldalon olvasott. A Nutrition Source nem ajánl és nem támogat semmilyen terméket.
Havi frissítés táplálkozási hírekkel és a Harvard szakértőinek tippjeivel - amelyek célja az egészségesebb táplálkozás. Regisztrálj itt.
- Niacin - B3-vitamin A táplálékforrás Harvard T
- Só és nátrium A táplálékforrás Harvard T
- Elhízás-vita A táplálkozási forrás Harvard T
- Riboflavin - B2-vitamin A táplálékforrás Harvard T
- A Stevia táplálkozási tényei kalóriák, szénhidrátok és egészségügyi előnyök